Monday, January 2, 2012

WASANII WALIVYOUKARIBISHA MWAKA MPYA LEADERS CLUB DAR






WASANII wa muziki wa Bongo Fleva jana walishusha bonge la shoo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, katika kuukaribisha mwaka mpya 2012. Hafla hiyo iliyofahamika kama ‘Bongo 50’ iliandaliwa na kituo cha radio cha Clouds FM kikishirikiana na mtandao wa simu za mkononi wa Airtel.


PICHA ZOTE NA ERICK EVARIST/GPL

No comments:

Post a Comment