Monday, January 2, 2012

DAR LIVE YAZINDULIWA KWA MBWEMBWE ZA AINA YAKE








UKUMBI wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam umezinduliwa leo saa nne na kuwavutia watu wengi wa eneo hilo na vitongoji vyake ambapo kwa ajili ya kupata burudani ya mwaka mpya iliyojumuisha kila aina ya ‘maraha’ ikiwa ni pamoja na michezo ya watoto kwa watu ambao waliamua kujimwaga hapo na familia zao.

PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY, GPL

No comments:

Post a Comment