Thursday, June 16, 2011

BABA ACHOMA MOTO NYUMBA KUMKOMOA MWANAYE MWIZI

Imetokea huko Kenya ambapo, "Buda" mmoja aliwashangaza wanakijiji baada ya kupandwa na hasira na kuchoma nyumba yake akidai amechoshwa na tabia ya mwanawe. Mwana huyo alikuwa akiingia chumbani na k uchukua vitu vya dhaman i jambo ambalo lilimkasi risha mzee huyo.

Kulingana na mdokezi wetu, mwana wa kiume wa m zee huyo ambaye ni mchuuzi sokoni amekuwa akihangaisha babake kwa kuiba vitu ny umba ni na kuviuza sokoni. Mwishoni mwa wiki aliingia chumbani na kuchukua mali ya dhamana na kuondoka kuelekea mjini kutafuta soko.

Babake a lipofika na kukosa ma li yake,alipandwa na hasira na kuamua kuchoma nyumba yake.

Majirani waliona moshi ikitoka na kukimbia wakifikiria ilikuwa ajali lakini walikuwa wa mekosea kwan i mzee Yule al ibaki amesimama huku akiona nyumba yake jinsi ilivyokuwa ikiungua.

Wazima moto walipigiwa simu mara moja na haikuchukuamuda kwa ni walifika mahali pale kwa muda mfupi mno na kuuzima moto ule.Vitu kadhaa zilikuwa zimechomeka pamoja na nyumba sehemu moja.

Kalameni aliachwa akikadi ria hasara aliyokuwa amepata ya bidhaa na nyumba "kuchomeka".

source: http://www.wavuti.com/habari.html#ixzz1PQWM417K

No comments:

Post a Comment