Ramadhan Chombo Redondo.
Ramadhan Chombo Redondo ana mkataba na Azam FC hadi Juni 30, 2013. Kwa maana hiyo Chombo ni mchezaji halali wa Azam FC na Azam FC haina mpango wa kumuuza isipokuwa kumuongeza mkataba, Simba waangalie wasije wakapoteza pesa zao kama kwenye suala la Jeba. Taarifa hii imetoka baada ya kuwepo na tetesi kuwa Redondo amesajiliwa na Simba Sc kwa kitita cha shilingi milioni 30.
Chanzo: http://www.facebook.com/azamfc
No comments:
Post a Comment