Friday, July 6, 2012

MABONDIA FRANCIS CHEKA NA JAPHET KASEBA WAPIMA UZITO KWA PAMBANO LA KESHO






Mabondia Francis Cheka na Japhet Kaseba leo wamepima uzito wao tayari kwa mpambano wa kesho katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wamepima uzito wao katika hoteli ya The Atrium iliyopo Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam ambapo kila mmoja amemtambia mwenzake kuwa ataibuka kidedea katika pambano hilo.

- GPL

No comments:

Post a Comment