HALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MCHANA HUU SI SHWARI WANANCHI WAMEANDAMANA HUKU WAKIWA WAMEBEBA MABANGO YENYE UJUMBE TOFAUTI KUHUSIANA NA MGOMO WA MADAKTARI UNAOENDELEA NCHI NZIMA...HALI ILIYOPELEKEA KUFUNGA BARABARA (SALENDA BRIDGE). MGOMO WA MADAKTARI UMEZIDI KUTUSHIA MAISHA WA WANANCHI WA KAWAIDA NA HUENDA UKALETA MAAFA MAKUBWA NCHINI.
HABARI ZAIDI ZINAKUJA PUNDE
No comments:
Post a Comment