Monday, September 26, 2011

MBIO ZA MBUZI ZANOGA DAR

Kutoka kushoto Meneja Uhusiano na habari za mtandao wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,Afisa Udhamini Ibrahim Kaude,Mkuu wa Udhamini George Rwehumbiza wakifurahia ushindi wa mbuzi waliomdhamini ‘Vodafasta’katika mbio za mbuzi zilizokuwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hapa nchini, mbio hizo zilifanyika jana jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya mbuzi’Vodafasta’ waliodhaminiwa na Vodacom Tanzania wakishiriki mbio hizo zilizokuwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hapa nchini, mbio hizo zilifanyika jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment