Monday, September 19, 2011

MATEJA WA DARAJANI STAMFORD HOOOOIIII WA MASHETANI WEKUNDU, 3 - 1

Teja lao la bei mbaya likilia baada ya kukosa bao la wazi....hebu cheki De Gea anavyomcheki jamaa kwa huruma arafu angalia hao jamaa wa Man U wanavyozomea.

Watu wazima hooooooooi!

Mpaka mwisho wa mchezo Man U 3 - 1 Chelsea.

No comments:

Post a Comment