Pichani juu mwanzo:Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza. Picha inayofuata: Msanii kughani mashairi Crystal Leigh Endsley ambaye alikuwa miongoni mwa wanachama wa tamasha la PEN & MIC akionyesha umahiri katika fani hiyo.
Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria.
SOURCE: Global Publishers Tz
No comments:
Post a Comment