Friday, August 5, 2011

KUNA UTRATRAAAAAAAAAAA........!?

Mama weeeeeeeeee....mama weeeeeee!




Tanzania raha sana.
Mafuta yapo lakini hayauzwi.
Umeme upo lakini hauwashwi.
Mafisadi wapo lakini hawakamatwi.
Magamba yapo lakini hayabanduliwi.
Maji yapo lakini hayatoki katika mabomba
.....kuna utratraaaaaa????

Habari Picha na Michuzi Jr Blog.

No comments:

Post a Comment