...hali haikuwa shwari jana jioni maeneo ya Kijenge Mwanama, Arusha katika sheli ya Mt. Meru ambako nilikuta kitimtim cha foleni ya kugombea mafuta angalau kwa lita mbili tuh ili ziwafikishe majumbani kwao.
NI SISI NA TANZAGIZA YETU.
NI SISI NA TANZAMAJI YETU.
NI SISI NA TANZAWESE YETU.
TUTAFIKA TUH...!
No comments:
Post a Comment