Friday, July 29, 2011

UNAMJUA MGUNDUZI WA TANZANITE?

Mgunduzi wa Tanzanite Mzee Jumanne Mhero Ngoma (kati) akiwa na maafisa wa GST ,
baada ya majadiliano mafupi.

Moja ya kivutio kilichokuwepo katika maonesho yanayoendelea ya Wizara ya Nishati na Madini ni ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite kama anavyonekana.

Certicate iliyotolewa rasmi na serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mgunduzi wa madini ya Tanzanite mwaka 1984 ilitolewa na Waziri wa Uchumi na Mipango kwa wakti ule.

Wananchi katika maonesho ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite umekuwa kivutio kikubwa kama anavyonekana.

Picha na Samwel Mtuwa.
Kwa maelezo juu ya mgunduzi wa Tanzanite wasiliana na namba Mobile : +255 754 93 24 21 na email: mtuwasamwel@hotmail.com

No comments:

Post a Comment