Saturday, May 4, 2013

Mtoto Monica Mwalupindi leo amepata Sakrament ya Ubatizo katika Kanisa la Katoriki Njiro - Arusha

 Monica akiwa na Mama wa Ubatizo na Mama Mzazi.

 Mr. &  Mrs. Mwalupindi, Monica, Mr & Mrs. Thadeus.
 Mtoto Monica Mwalupindi...anamelemeta!
 Monica na Mama, like mom lyk daughter!
 Mr & Mrs Mwalupindi wakiwa na mtoto wao mpendwa MONICa baada ya kupata Sakramenti ya Ubatizo





Mtoto MONICA akipata ubatizo.

No comments:

Post a Comment