Monday, April 29, 2013

BONANZA LA MAVETERAN MWANZA LAFANA, MORO VETERANS YAIBUKA NA USHINDI (KITAMBI NOMA ARUSHA YALIA NA FITNA)

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akifungua Bonanza la Mavetaran katika viwanja vya CCM Kirumba,   Jijini Mwanza.
Kikosi cha KITAMBI NOMA SOCIAL CLUB - Arusha.
Kikosi cha cha Mwanza Veterans 'B'.
Kikosi cha Kagera Veterans.
Kikocha cha Mwanza Veteran 'A'.
Kikosi cha Veterani Dodoma apacho kilifanikiwa kushika nafasi ya pili baada ya kufungwa na Morogoro kwenye mchezo wa fainali jumla ya pelnati 3-2
Kitambi Noma wakipiga Dua kabla ya mechi yao dhidi ya Mwanza Veteran 'A', ambayo Kitambi Noma waliibuka kifua mbele kwa ushindi wa 1 - 0, bao likifungwa na mshambuliaji mahiri David Mwantobe.
Mchezaji wa zamani wa Yanga FC, Pamba ya Mwanza na Taifa stars Fumo Felisia (kushoto) ambaye kwa sasa anacheza Mwanza Veterans akijaribu kumtoka  beki wa Kitambi Noma Arusha, Preso Pawasa.
Kiungo wa wa Moro Veteran Mze Mkondo ambaye ni afande wa jeshi la polisi mkoa wa Morogoro akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mwanza Veterani.
Moro Veterans wakishangilia ushindi wao.
Mwenyekiti wa Kitambi Noma SC - Arusha, Charles Makwaia Mwandu akifuatilia matukio mbalimbali uwanjani.


Habari Picha na Dustan Shekidele.

No comments:

Post a Comment