Monday, December 19, 2011

VIONGOZI WA KITAMBI NOMA FC


Napenda kuwapa hongera bwana Hamisi Kambi (Mkubwa Kambi) kwa kupata nafasi ya UKATIBU wa kitambi noma, na pia Mr. Charles Makwaia kupata nafasi ya UENYEKITI wa Klabu ya Kitambi Noma....viongozi wengine ni: Jimmy Chocolat Mkatte - Afisa Habari, EriQue 'Chicharito' Mgema - Mtunza Hazina Msaidizi, Jackson John Mrema - Mtunza Hazina, Joseph Didier Kicheko - Kapteni, Nurdin Mfaume - Kapteni Msaidizi......Napenda niwashukuru wajumbe wote kwa kufanikisha zoezi hili kufanyika kwa utulivu wa hali ya juu,pia ningependa kuushukuru uongozi wa QX Pub kwa kutupatia nafasi kwa ajiri ya kufanya mkutano wetu. Daima tusonge mbele KITAMBI NOMA FC (Wazee wa Njaa)

No comments:

Post a Comment