Monday, December 19, 2011

JIMMY MKATTE wa Kitambi Noma Fc ala Nondoz


Mshambuliaji machachari wa KITAMBI NOMA FC...Jimmy 'Chocolate' Mkatte (Van Persie), asubuhi ya leo amekura Nondo ya maswala ya Habari (Afisa Habari na Mahusiano) kwa Ngazi ya UZAMILI. Jimmy ametumia Nondo yake kuweza kuitambulisha vizuri Kitambi Boma Fc ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na dunia kwa ujumla. Pongezi ziende kwa Wazee wa Njaa pamoja na Wazee Kitambi Noma Fc kufanikisha Jimmy kung'oa Nondo ya Afisa Habari na Mahusiano.

No comments:

Post a Comment