Wednesday, December 14, 2011

KONA YA MKUBWA KAMBI: SEX kwa Mara ya Kwanza! Kwa akina dada


Tukumbuke Hapa nazungumzia wale ambao wanaamini wwataendelea kuwa pamoja katika upendo sizungumzii wale wanaoamua kufanya ufuska na kila mtu kwenda na zake.

MTAZAMO:
Mwonekano wa nje (appearance) mara nyingi huwezesha wanaume kujipiga switch ya sex haraka iwezekanavyo, pia chemistry ya mwili ni jambo la msingi sana ni kama asset kwa ajili ya sex hata hivyo kwa kuwa na tendo la ndoa zuri siku ya kwanza jambo la msingi kwa mwanamke ni mtazamo wako kuhusu sex.
Ni muhimu sana kujiamini kwamba unaweza na pia mpenzi wako atakufurahia na kwamba anakuhitaji na upo tayari kusaidiana kuhakikisha wote mnakuwa na wakati mzuri pamoja na ni jukumu lenu wote na si kulala kama gogo lisilo na feelings ukiamini mambo yataenda sawa.

USAFI
Ni vizuri sana kuzingatia suala la usafi kwani ni jambo linalopendeza kunukia vizuri katika harufu ya asili ya mwili wako.
Kwani ukiwa unavutia na mwenye kunukia vizuri basi mwanaume atakuwa crazy tu na atafanya kila analoweza kuhakikisha anakupa kile unastahili.

MAANDALIZI
Jambo la msingi ni kwa wewe mwanamke kuwa wazi kuongea na kuongea na kuongea na kuongea, yaani jiweke huru kuwa wazi kuongea kila kitu.
Kumbuka kubusiana huja baada ya kuongea kwani maneno matamu huleta hamu ya kuwa karibu zaidi kimwili.

KAMA UPO MP
Wanaume wengi huwa hawajali kama mwanamke yupo MP au la hata hivyo suala hili hufanya mwanamke mwenyewe asijisikie vizuri ( embarrassed).
Ni vizuri sana kuwa na discussion na wote mfanye kile mmekubaliana kama hapana iwe hapana kwa wote na kama ndiyo iwe ndiyo kwa wote na si vinginevyo.

USIMUHUKUMU
Wanawake wengi wanaamini mwanaume lazima awe kiongozi linapokuja suala la sex hata hviyo wapo wanaume ambao huhitaji ujasiri wa mwanamke ili kila kitu kiende sawa.
Hivyo ukiona mwanaume wako haoneshi dalili ya kwamba anaweza kuanzisha chochote ni vizuri ukachukua jukumu na katika kuchukua jukumu usifanye kwa dhihaka hadi kuumiza utu wake.
Anyway huyo ni mpenzi wako, mwili ni mali yako na tendo la ndoa ni haki yako na mali yenu na kila kitu unafanya ni Baraka.

KILELENI
Kufika kileleni au kutokufika yote hutegemea wewe na mwenzi wako.
Ufike kileleni usifike jambo la msingi ni wewe ku-enjoy siku yako ya kwanza kuwa na mume wako na zaidi bado ni grade one so bado safari ni ndefu hadi kuwa na PhD ya mahaba kama wapendanao na ndipo utafurahia kufika kilele.

KIASI GANI
Ukweli hakuna kanuni ni kiasi gani inatosha kwani hakuna formula ya how much is too much or too little.

MWAMBIE “NAKUPENDA”
Wakati mwingine mzuri wa kumwambie mpenzi wako nakupenda ni wakati wa sex na hapo itasaidia kuweka memories kwenye ubongo wake na hatimaye unaweza kuwa na better sex and fulfilling.


Imeandikwa na Mkubwa Kambi

No comments:

Post a Comment