Wednesday, December 14, 2011

Jamal Jimmy Mkatte (Chocolate Jr.)



Handsome boy wa mukubwa Jimmy Mkatte, Jamal Jimmy Mkatte (Chocolate Jr.) akikung'uta gitaa. Kijana anakipaji cha hali juu katika maswala ya kuimba na kupiga muziki, kwa uwezo wake umezihirika hivi juzi baada kuuuonesha uma wa Wamarekani namna ya kutumia vyombo vya muziki Gitaa, Kinanda na badae alikamatia Drums. Jamal anaishi nchini U.S na anachukua masomo ya muziki katika muda wake wa ziada baada ya masomo mengine ya darasani.

Hongera Jamal...Dad loves, keep it UP son!

No comments:

Post a Comment