Friday, September 30, 2011

HAPA SHAGGY..HUKU EVE E, PALE CABO SNOOP.....MOTO KUWAKA KESHO @CARNIVO GROUNDS - NAIROBI

Mwanamuziki Shaggy akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na tamasha la Tusker All Stars 2011,kulia kwake ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya EABL-Kenya ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo kupitia kinywaji chao cha Tusker.

Baadhi ya wanamuziki waliojitokeza kuunga mkono kampeni mpya ya EABL-Kenya ( RESPONSIBLE DRINKING CAMPAIGN),wakiwa wamepozi picha pamoja kwenye baadhi ya Tax zenye kuhamasisha kampeni hiyo jijini Nairobi,kulia ni Davies,Eve E,Peter Msechu,Cabo Snoop pamoja na Shaggy.

Msanii Alpha akitimiza moja ya ndoto zake katika anga ya muziki,
akila konga na bishosti EVE 'E'.

One n' Only Peter Msechu...msanii mmojawapo wa Tusker All Stars 2011 akitia saini kwenye bango lenye tangazo la kampeni mpya ya East African Breweries Ltd,iitwayo "Unywaji pombe kistaarabu" ama
" RESPONSIBLE DRINKING CAMPAIGN".

Msanii kutoka nchini Angola,Ivon Manuel Lemu a.k.a Cabo Snoop, akitia saini kwenye bango lenye tangazo la kampeni mpya ya East African Breweries Ltd,iitwayo "Unywaji pombe kistaarabu" ama
" RESPONSIBLE DRINKING CAMPAIGN".

No comments:

Post a Comment