Saturday, July 9, 2011

MBEGE (Banana Beer) @ CALYPTO PUB - SUYE GEREJI


...Jumapili hii na zote zingine marafiki tukutane tukae pamoja tukiongea mawili matatu ya kimaendeleo huku tukishushia na kinywaji chetu cha asili MBEGE (Banana Beer)...mahala ni palepale CALYPTO PUB. Karibuni sana tumalizie wikiend kwa pamoja.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia:
0687867151
0759102793
0715502082

No comments:

Post a Comment