Monday, July 11, 2011

BUNGE SPORTS FC vs GLOBAL PUBLISHERS FC....jijini Dodoma juzi!

Nahodha wa Global Publishers, Saleh Ally (mwenye jezi nyeupe), akisalimiana na nahodha wa Bunge Sports Club, Amos Makala kabla ya mechi kuanza.

Mshambuliaji wa Global, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Eric Shigongo akiwania mpira na wachezaji wa Bunge Sports Club

Golikipa wa Bunge Sports Club, Idd Azzan akifanya vitu vyake.

Nahodha wa Bunge Sports Club , Amos Makala (wa pili kulia) akiwania mpira na Athuman Tippo (kulia).

Wadau wakifuatilia kwa makini kipute hicho.


News & Pics by Global Publishers Tz

No comments:

Post a Comment