Thursday, September 27, 2012

KITAMBI NOMA CLUB ARUSHA ILIVYOWANG'ALISHA MSONDO NGOMA

Mwenyekiti wa Kitambi Noma Club, Charles J. Makwaia akiwa na fulana za kilabu hiyo.
Mwenyekiti Charles J. Makwaia akijadiri jambo na katibu wake Hamis Kambi
Mwenyekiti Charles akimvisha mmoja wa wanamuziki wa Msondo Ngoma


Mwenyekiti  akimng'alisha mwimbaji wa Msondo Ngoma

No comments:

Post a Comment