Friday, August 31, 2012

MAN CITY NDANI YA KUNDI LA KIFO UCL


Mabingwa wa EPL, Manchester City wapangwa kwenye kundi la kifo katika hatua ya makundi ya lingi ya mabingwa ulaya (UEFA Champions League). Man City wamejikuta mikononi mwa mabingwa wa La Liga Real Madrid, huku wakikutana na miamba ya soka ya Ki-Dutch Ajax sambamba na watemi Borussia Dortmund.

Wakati huohuo mabingwa watetezi Chelsea watakutana na Juventus, Shakhtar Donetsk and FC Nordsjaelland ya Denmark. Huku Celtic watapambana na Barcelona pamoja na Benfica ya Ureno na Spartak Moscow.

Na wale mashetani wekundu Manchester United na washika bunduki Arsenal wakisemekana kuwemo kwenye makundi laini.

Makundi hayo ni kama ifuatavyo:

GROUP A
FC Porto
Dynamo Kiev
Paris Saint Germain
Dinamo Zagreb

******

GROUP B
Arsenal
Schalke
Olympiakos
Montpellier

******

GROUP C
AC Milan
Zenit
Anderlecht
Malaga

******

GROUP D
Real Madrid
Manchester City
Ajax
Borussia Dortmund

******

GROUP E
Chelsea
Shakhtar Donetsk
Juventus
FC Nordsjaelland

******

GROUP F
Bayern Munich
Valencia
Lille
BATE Borisov

******

GROUP G
Barcelona
Benfica
Spartak Moscow
Celtic

******

GROUP H
Manchester United
Braga
Galatasaray
CFR Cluj

No comments:

Post a Comment