Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu upatikanaji wa Vazi hilo Joseph Kusaga, mchakato huo uko katika hatua za mwisho kabisa, na mategemeo ya kamati hiyo kuukabidhi kwa Waziri kama alivyoagiza.
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinatarajiwa kufanyika tena katikakati ya mwaka mwezi ujao wa June, kwa minajili ya kupitisha bajeti ya Serikali ya mwaka ujao wa fedha, na tayari kamati ya maandalizi ya vazi la Taifa itatumia fursa hiyo kuwasilisha kwa wawakilishi wa wananchi kile kilichopatikana kwa ajili ya utambulisho wa Mtanzania.
Dar411
No comments:
Post a Comment