
Paul James Sweya 'PJ' akifurahia cheti chake baada ya kufika Gilman's Point

PJ, Emmanuel Exodus na Rafiki baada kushuka kutoka kilele cha Gilman

Shaban Tolle na Pj wakipongezana baada ya kumaliza kukwea mlima kili

PJ aking'ara na tshirt kali ya KITAMBI NOMA CLUB

PJ akifurahia jambo na Rais J. M. Kikwete baada ya kumjulisha uwepo wa
klabu ya KITAMBI NOMA - Arusha



Wazee wa kazi wakipata supu nzito


@ Baranco Huts kwa nyuma ni kilele cha Kibo


picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi kutoka Kenya

huleeeeeeeeeeeeeeeee
No comments:
Post a Comment