Monday, March 26, 2012

KITAMBI NOMA BONANZA, KIITEC GROUNDS - ARUSHA (Jumapili 23/03/2012)

Flowers



Mtanange....wanaume kazini

Mshambuliaji machachari Jimmy Fabregas Mkatte

Nyanda wa Kitambi Noma akijiandaa kudaka mpira wa kona
Mazungumzo baada ya mchezo
Anko akiwa na vimwana ktk viunga vya KIITEC
Handsome Boy Jimmy Mkatte, Baruti, Bi. Zamda na Friend
New members wa Kitambi Noma Club wakiwa katika picha ya pamoja na
mwenyekiti Mr. chalz (mwenye jaketi jekundu)
Twin Brother...Robin 'Ottinger' na Baruti

******

Kama ilivyoada kila Jumapili huwa kunakuwepo lile Bonanza kubwa na la aina yake jijini Arusha KITAMBI NOMA BONANZA, ambalo huandaliwa na wazee wa kadanse KITAMBI NOMA CLUB huku likikaribisha wakazi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake kuja kujionea na kupata burudani ya nguvu na michezo mbalimbali.

Jumapili ya 23/03/2012 wana burudani wa jijini Arusha walipata kujionea mashindano ya michezo mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba, kabumbu, kukimbia na magunia na kufukuza kuku...na baadae walipata kuliwazika na vinywaji mbalimbali pamoja na muziki hatarii kutoka kiota cha burudani cha QX PUB 'talk of the town'.

Nyote mnakaribishwa kuja kujionea Bonanza la kwanza kutokea jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment