Saturday, March 31, 2012

Diamond akataa kupokea hela ya Wema Sepetu kwa Steji


Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond katika show hii ya DIAMONDS ARE FOREVER alijikuta akipata aibu pale alipotoka kwenye kiti chake na kwenda kumtunda Diamond akiwa anaimba kwa steji na hela yake kutopokelewa na mtu mzima kuipotezea hela ile daaaaah


Video By Dj Choka

No comments:

Post a Comment