Asha Baraka (wa pili kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani). Kutoka kushoto ni mkongwe wa muziki wa dansi Jackson Kalala (zamani Hamza Kalala), Nocha Sebe, mwalimu wa kufundisha muziki aliyetoka masomoni Uingereza, na mwalimu wa Chuo Kikuu Huria, Warren Reed, ambaye atahusika na mafunzo ya muziki na uigizaji.
Asha akionyesha vifaa vya kuchuja muziki.
MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars (Twanga Pepeta), Asha Baraka, jana alionyesha vifaa vya muziki kwa ajili ya chuo cha muziki kitakachoitwa Music Academy alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam.
Akiongea kwa kujiamini, alisema kuwa kwa kipindi hiki ameamua kuja tofauti na bendi nyingine kwa kuanzisha Chuo hicho.
HABARI/PICHA NA GLADNESS MALLYA NA IMELDA MTEMA, GPL

No comments:
Post a Comment