Saturday, January 21, 2012

DR YASSIN,OMARY NA BRAZA ELISHA NDANI YA EAA CO LTD. (JAPAN)

Mkubwa Sheikh Omary Mtaalamu wa computer na vitu vyake akiwa na Mwanae ndani ya EAA Co LTD
Dr Yassin Mtoto wa Mama Beti akiwa na Julius Mdaki baba Reikunhapa wasomi wakijadiliana msuala mbalimbali ya kijamii na kiuchumi..

Mjomba Mdaki nae akitoa mawili matatu..Jamaa kama ukimsikiliza ndio utajua kwamba yupo juu na anautofauti mkubwa sana na watu niliowazoea..HE CAN TALK SENSE.
Braza Elisha huyu nae ni Mhasibu ambaye anatambulika na bodi ya wahasibu ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment