Saturday, September 17, 2011

DAR @NIGHT na ISSA MNALLY, GPL

Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ wakifanya makamuzi Ukumbi wa Meeda hivi karibuni.

Prezdaa wa Akudo Impact ‘Vijana wa Masauti’, Christian Bella (katikati), akifanya makamuzi na wanenguaji wa bendi hiyo Ukumbi wa Msasani Beach Club jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment