Saturday, August 13, 2011

Jagwa Music Mchiriku (Mnanda) Live

Mnanda ngoma yetu....mitaani kwetu ndio asili yetu..asikwambie
mtu mzuka ukipanda hakuna wa kuushusha mpaka kuchwele
.....hapo hapooo hapoooo!

Perfoming Live @ Sauti Za Busara - Zaznibar

Hapa unakutana na listi makini ya:
Jackie Aluta Kazimoto - Vocals
Igoshi Mshindo - Vocals
Mdogo Mwinyi - Vocals
Saleh Hija 'Diploma' - Kinanda
Shukuru Ponza ' Daliki' - Kinanda
Abdalla Said 'Mazinge' - Msondo
Akida Pazi 'Bonta' - Dumbaki
Hussein Selemani - Vijiti
Abdalla Salehe - Rika

No comments:

Post a Comment