Monday, August 15, 2011

HEMEDI AMTUSI JUDGE WA TUSKER PROJECT LIVE FAME

Jana katika fainali za Tusker Project Fame, Hemedi alitoa kali na kuwaacha watu wakiduwaa baada ta kumpaka live Judge Ian baada ya kutoa jibu aliloulizwa na host wa show Eve juu ya Hemedi kujiita Michael Jackson wa East Africa.Ian alisema Hemedi hawezi kuwa Michael Jackson hata miaka milioni ijayo.

Baada ya comment hiyo Hemedi alimjibu judge huyo kwa kusema kuwa judge huyo sio handsome kama yeye, na hataweza kuwa, pili akamwambia kuwa ni mbeya na tatu kenya kuna mashamba mengi aende akalime, baada ya maneno hayo kutoka kwa hemedi aliekuwa amevaa mlegezo judge Ian alimjibu kwa kusema "atleast my trouser fits me" (angalau suruali yangu inanitosha)

Na DJ Fetty

No comments:

Post a Comment