Monday, August 22, 2011

Christina Shusho,A.Y,Msondo Ngoma Wang'ara East Africa Music Awards.

Msondo Ngoma nao wakipokea tuzo yao ya Best Rhumba Group.

Mzee wa Komesho A.Y kutoka Nchini Tanzania (katikati)akiwa ambae ameishikilia tuzo yake ya East Afrika Music Awards.Kulia ni mtangazaji Mahiri wa Clouds FM 88.$ Radio ,Hamis Mand a.k.a B12.

Mwimbaji wa nyinbo za injili Chritina Shusho akiwa na Tuzo Yake.

No comments:

Post a Comment