Monday, August 22, 2011

ALLAH IS THERE: Kondoo wa ajab alie zaliwa na andiko "Yaasin" kulia mwa ubavu wake.

Staajabu ya mwenyez mungu,,yaasin kwenye ubav wa kondoo!

this z miracle....God z capable of doin somwhat u can never think of!!haya yametokea huko machame,uduru.kondoo wa ajab alie zaliwa na andiko "Yaasin" kulia mwa ubavu wake..allah akbar!kama bado hujaamin basi zidsha iman kwa mungu,kwan yeye ndo mwenye kumuongoa amtakae..inshallah atujaalie tuwe wenye kuongoka cku ya mwisho.

Tuendeze kumcha mungu kwa kila khari!

Aamin.


PICHA NA Madeln Soud

No comments:

Post a Comment