Katika mahojiano maalum na Rais Kikwete, mwandishi wa BBC, Omar Mutasa,
kwanza alitaka kujua, pamoja na kutafuta wawekezaji ambao kimsingi
watahitaji nishati ya umeme ya uhakika, kwa nini tatizo la umeme
halijapatiwa ufumbuzi.Bofya Hapa kusikiliza.
No comments:
Post a Comment