Saturday, July 23, 2011

MSIBA: MKUDE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI MZEE SEZARI JOHN

PICHANI MAREHEMU MZEE SEZARI JOHN


Habari za kusikitisha zimetufikia jana kuwa Baba wa moiganaji mwenzetu Mkude(kinyozi)Amefariki baadaya ya kuugua kwa muda mfupi katika hospital ya muhimbi tarehe 13july 2011.mazinshi yamefanyika nyumbani kwake Morogoro tarehe 17July 2011.
Kama kawaida ya wanajumuhia tunaomba kutoa pole kwa Mfiwa rafiki yetu Africa John Mkude Sezari (Kinyonzi,)
Unaweza kutoa mchango wako kwa wafuatao
M?Kiti wa watanzania Mr Rashid, Tel 09063056041
Makamu/Kiti: Mr Prosper, Tel 09022308435
Director Wilna: Mr Willy, Tel 09072187118
Mungu aiweke roho yake pema peponi Amin.


Posted by Dr Prosper Nguku..

No comments:

Post a Comment