Warembo 11 wanaotakao panda jukaa la Hotel Oasis mjini Morogoro
hii leo Julai 22,2011 kuwania taji la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakiwa
katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo Usambara Lodge.
Miongoni mwao atapatikana Mrembo mwenye haiba ya Picha
(MD Digital Company Miss Photogenic 2011).
No comments:
Post a Comment