KHABAAA: Hapa KITU TIGO huku KHANGA MOKO live in Arusha Jmoc hii @ Arusha City Park
KIKUNDI cha wanenguaji mahiri wanaojulikana kama Khanga Moja Ndembe ndembe na Kitu Tigo wanatarajia kufanya onyesho la aina yake katika Ukumbi wa Arusha City Park Jumamosi ya Julai 30, kuanzia saa tatu za usiku hadi majogoo.
No comments:
Post a Comment