Daladala (maarufu kama VIFODI) jijini Arusha zimegoma kutoa huduma ya usafiri mpaka hivi sasa. Hali hii umeleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa usafiri kwenda makazini na sehem zingine mbali-mbali.
Habari kamili inakuja ili kukujuza undani zaidi wa tatizo hilo.
No comments:
Post a Comment