Wednesday, June 19, 2013

WATANZANIA WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KISOMO CHA KUMUOMBEA DUA MAMA MZAZI WA KASSIM SIMBA,IMU SIMBA NA KULWA SIMBA KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO ODAKYU SAGAMIHARA - JAPAN

Mfiwa Braza Imu Simba akiongea mawili matatu na kushukuru wanaJumuiya.

Sheikh Abdul akiongoza dua

Mwenyekiti bwana David P. Semiono






*********
Habari Picha na Kamera ya USWAZI - Japan

No comments:

Post a Comment