Tuesday, June 19, 2012

WASANII BONGO MUVI WAACHA GUMZO MIRERANI, KILIMANJARO






Wasanii wa kundi la Bongo Muvi la Jijini Dar es Salaam, hivi karibuni waliacha gumzo katika machimbo ya Mirerani Mkoani Manyara na Kilimanjaro baada ya kutembelea mikoa hiyo huku wapenzi wao wakifarijika kuwaona.

PICHA: IMELDA MTEMA, GPL

No comments:

Post a Comment