Tuesday, June 19, 2012

Mr Blue APATA MTOTO WA KIUME


Muda huu nimepata simu kutoka kwa Mr. Blue na kuniambia kuwa yule mpenzi wake ambaye alikuwa na mimba anakwenda kwa jina la Wahida majira ya jana usiku kuamkia leo alijifungua mtoto wa kiume. Blue amesema mtoto huyo ameamua kumpatia jina la SAMEER.

Na DjChoka

No comments:

Post a Comment