Monday, February 20, 2012

K.I CO LTD SAGAMINO MAIN OFFICE.

Hii ndio Banner ya K.I kampuni mpya ya ununuaji na usafirishaji
wa magari ya K.I Co LTD

Mkurugenzi mkuu wa K.I co LTD Director Amarido Charles akiwa ndani
ya jengo la K.I Co LTD Sagamino Ebina city

Director akionesha namana mnada wa magari unavyoendelea
kwenye wide and big screen.


Sehemu ya mapokezi na ununuaji wa magari na vifaa vingine

****

MTANZANIA MWENZETU ANAPOPIGA HATUA TOKA MOJA KWENDA NYINGINE KAMA KAWAIDA BLOG YENU YA USWAZI INATOA TANO.BWANA AMARIDO CHARLES NI MTANZANIA AMBAYE NATUMAINI HATA MIAKA MITATU HANA TOKEA AINGIE HAPA JAPAN ILA KWA HATUA ALIYOFIKIA NI ELIMU TOSHA KWETU SISI WENGINE KUACHA UBABAISHAJI NA KUWA SERIOUS KATIKA MAISHA.

HII NI ELIMU NA HII NI FUNZO KWA WAFANYA BIASHARA WENGINE AMBAO NI WABABAISHAJI MIAKIA NENDA MIAKA RUDI WAPO PALEPALE HAWA MOVE HII INATOKANA NA KUWA HAWAPO SERIOUS NA GAME NA PIA HAWAJUI NINI MAANA YA BIASHARA.

BLOG YA USWAZI KAMA KAWAIDA HAINA KINYONGO NI KUTOA PUBLICITY KWA A WANAOFANYA VEMA NA KUKANDIA WABABAISHAJI.

No comments:

Post a Comment