Wednesday, January 4, 2012

TP Mazembe yazindua uwanja wao wa michezo!


Moise Katumbi Chapwe, Raisi wa TP Mazembe

Mtoto wa Moise Katumbi ambaye pia anamiliki timu ya Don Bosco

Mke wa Moise Katumbi

JB Mpiana (Binadamu) alikuwepo kutumbuiza mashabiki walioudhuria uwanjani kushuhudia uzinduzi huo

Umati wa wana TP Mazembe

Mkeka umetulia....



Mbali na uzinduzi wa uwanja huo pia bidhaa mbalimbali za TP Mazembe zilizinduliwa siku hiyo

No comments:

Post a Comment