Monday, January 2, 2012

DIAMOND ATOLEWA MAHABUSU MCHANA WA LEO KWA DHAMANA ,ASUBIRI KUPANDISHWA MAHAKAMANI


Msanii Diamond ameruhusiwa kudhaminiwa leo majira ya saa 6 mchana na kuondoka kuelekea jijini Dar es Salaam kufanya uzinduzi wa Albamu yake,msanii huyo aliwekwa mahabusu ya kituo cha polisi mjini Iringa kwa tuhuma za kumpiga na kuharibu vitendea kazi vya mmiliki wa blogu ya www.francisgodwin.blogspot.com katika viwanja vya Samora mjini Iringaa

No comments:

Post a Comment