Tuesday, December 27, 2011

KITAMBI NOMA SC walialikwa xMAS NYUMBANI KWA MKUBWA RIZIKI (Part 1)

Vyuku vikiandaliwa....!

Nyama za Mbuzi (Mbuzi Nane) hazikuwa nyuma katika maandalizi ya siku hiyo nzuri kwa wadau wa KITAMBI NOMA FC.


Faza House...Riziki Mwalu, akisimamia kwa umakini kabisa
zoezi la Uchomaji Nyama!


Mzee wa KITAMBI NOMA SC...Gilbert akihakikisha mambo
yanakwenda sawa sawia!

No comments:

Post a Comment