Friday, August 5, 2011

WAANDISHI WA VITABU, MASHAIRI NA WANAMUZIKI WALETA RAHA KATIKA TAMASHA LA PEN & M


Pichani juu mwanzo:Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza. Picha inayofuata: Msanii kughani mashairi Crystal Leigh Endsley ambaye alikuwa miongoni mwa wanachama wa tamasha la PEN & MIC akionyesha umahiri katika fani hiyo.



Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria.

SOURCE: Global Publishers Tz

No comments:

Post a Comment