Thursday, August 11, 2011

Hafla fupi ya uzinduzi wa Vodacom house miss tanzania 2011 usiku huu.

Mandhari ya jengo hilo la Vodacom house Miss Tanzania likionekana kwa nje.

Ofisa Mkuu wa Masoko na mahusiano wa kampuni ya Vodacom,Mwamvita Makamba akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Vodacom House Miss Tanzania 2011 usiku huu,kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency inayoratibu shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundega pamoja Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza wakishuhudia tukio hilo.

Pichani ni Washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 wapatao 30 wakiwa katika pozi.
Ofisa Mkuu wa Masoko na mahusiano wa kampuni ya Vodacom,Mwamvita Makamba akizungumza jambo usiku huu na washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011,mbele ya wageni waalikwa mbalimbali kabla ya uzinduzi wa nyumba ya V house.

Washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakicheeersss kwa pamoja.

Habari Picha na MICHUZI Jr., Jiachie

No comments:

Post a Comment