Wednesday, August 10, 2011

DIAMOND PLATNUMZ. THE DOCUMENTARY IN NAPLES ITALY


Msanii wa Bongo Flava DIAMOND PLATNUMZ amepikiwa nyimbo mpya kutoka katika studio za SEE RECORDS iliyopo mjini Napoli-Italy.nyimbo hiyo inayoitwa KIZAIZAI imeshakuwa tayari na inategemewa kupatikana hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment