Friday, July 1, 2011

YANGA yawabanjua wasomali


Yanga ilidhiirisha kuwa ina nia ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Kagame baada ya jana kuifunga Elman ya Somalia mabao 2-0 katika mechi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment